Kanisa jumuishi Nigeria lawaleta pamoja viziwi na mabubu

DESIGNBOOM

Katika jamii inayochukulia ulemavu kama laana ya kiroho, Missioni ya Kikristo kwa Viziwi huko Somolu hutoa mafunzo ya lugha ya ishara na kituo cha kujifunza kinachosaidia viziwi kuelewa vyema dunia na kupata jamii ya msaada.