Melanesia: Wenyeji walinda ekari milioni za bahari

ECOWATCH

Jamii za wenyeji wa Melanesia zimechukua usukani kulinda zaidi ya kilomita milioni 6 za bahari. Wanahifadhi mazalia ya samaki na viumbe wa baharini, wakiwa mstari wa mbele kutetea mazingira na kuimarisha maisha ya watu wao.