
Kifaa kinachobebeka cha kugundua dawa nyeti
PHYS.ORG
Chuo Kikuu cha Bath, Uingereza, kimebuni na kutengeneza kifaa cha kubaini dawa za kulevya hatari. Kifaa hiki kinachobebeka kinaweza kugundua kiasi na aina halisi ya viungo, kwa lengo la kupunguza madhara ya dawa hizo na kuelewa vyema viungo vyake.