Iceland yaonesha ongezeko la asilimia 9.1 katika viwango vya furaha kwa mwaka huu, kwa mujibu wa ripoti ya kila mwaka

BBC

Iceland imeorodheshwa kama nchi ya tatu yenye furaha zaidi kulingana na Ripoti ya Furaha Duniani ya 2025, na imeona ongezeko kubwa na alama yake mwaka huu. Asili, uwekezaji katika masuala ya kijamii, na hisia kubwa za ustahimilivu ndizo sababu zilizotajwa kwa ongezeko hili kubwa.