Mimea ya Water Hyacinth kutoka Amerika ya Kusini Yaondoa kwa Ufanisi Microplastics Majini

MONGABAY

Mmea vamizi wa magugu maji hutengeneza mikusanyiko minene inayoziba njia za maji na kuathiri viumbe asilia. Hata hivyo, tafiti zimebaini kuwa mmea huu una uwezo wa kusafisha maji machafu, kwa kuondoa si tu mabaki ya kilimo na metali nzito, bali pia vipande vidogo vidogo vya plastiki , bila kuathiri mimea hiyo katika mchakato huo