
Utafiti Waonyesha Kuwa Ushirikishwaji Una Faida kwa Kila Mtu Anayehusika
YES MAGAZINE
Utafiti uliofanyika katika vyuo vikuu 10 vya umma nchini Marekani umebaini kuwa wanafunzi wanaoshirikiana na wenzao wa asili na mitazamo tofauti huonyesha viwango vya juu katika kufikiri kwa kina, kuwa na moyo wa kujali maslahi ya jamii, na kuwa na hamasa juu ya masuala ya umasikini. Aidha, wana uwezekano mkubwa wa kushiriki katika upigaji kura na kuendeleza ujuzi imara wa uongozi