Mswada mpya nchini Marekani unatoa matumaini upya kwa hatua za kiserikali kuhusu shule za bweni za Wenyeji wa Kihindi

ICT NEWS

Seneti imepitisha mswada wa pande zote mbili kuunda Tume ya Ukweli na Uponyaji juu ya Sera za Shule za Bweni za Kihindi, ambayo inalenga kushughulikia dhuluma za kihistoria na majeraha ya vizazi, ikitoa matumaini ya uponyaji katika jamii zilizoathirika.