Usambazaji wa chanjo ya malaria unaanza katika nchi iliyoathiriwa zaidi duniani
BBC
Nigeria inachukua hatua muhimu katika mapambano yake dhidi ya malaria kwa kuzindua chanjo ya malaria ili kuwalinda watoto walio hatarini, kuokoa mamilioni ya maisha na kupunguza athari za janga hilo kote nchini.