Netumbo Nandi-Ndaitwah, ameweka historia kwa kuwa rais wa kwanza mwanamke wa Namibia,Baada ya kupata zaidi ya asilimia 57 ya kura katika ushindi wa kihistoria, mpigania uhuru wa zamani na mtetezi wa haki za wanawake.

Namibia inachagua rais wa kwanza mwanamke katika ushindi wa kihistoria
BBC





