Ubelgiji inatenda haki kwa watoto waliotenganishwa wakati wa ukoloni

DW

Katika uamuzi wa kihistoria na hatua muhimu kuelekea haki na utambuzi wa athari za kudumu za urithi wa kikoloni wa Ubelgiji, Mahakama ya Ubelgiji iliamua kwamba utekaji nyara wa watoto wakati wa ukoloni ulikuwa uhalifu dhidi ya ubinadamu na ikaamuru fidia kwa wanawake watano.