Ufugaji endelevu unalinda mifumo muhimu ya ikolojia na wanyamapori katika savana ya Bolivia

MONGABAY

Katika savanna za Bolivia zilizojaa mafuriko, mbinu endelevu za ufugaji zinathibitisha kuwa na ufanisi katika kuleta usawa kati ya uhifadhi na maisha ya wenyeji, kwani zinasaidia kurejesha majani na kulinda spishi zilizo hatarini kama vile macaw mwenye koo la buluu.