Waifadhi wa Indonesia wanajenga madaraja ya miti ili kudumisha utofauti wa kibaolojia

MONGABAY

Mamlaka za mitaa katika Sumatra Kaskazini, Indonesia, zinajenga madaraja ya miti kwa ajili ya wanyama wa kundi la primati kuvuka barabara kwa usalama. Mpango huu unalenga kulinda spishi zilizo hatarini na kuboresha utofauti wa kibaolojia kwa kushughulikia mgawanyiko wa makazi.