California yapiga marufuku vyakula vilivyosindikwa mashuleni

NEW FOOD MAGAZINE

California imekuwa jimbo la kwanza Marekani kupiga marufuku vyakula vilivyosindikwa kama chipsi na vitafunwa vyenye sukari katika shule. Sera hii inalenga lishe safi na bora kwa wanafunzi ili kuboresha afya, umakini na tabia za chakula kwa muda mrefu.