Katika utafiti mjini Delhi, wagonjwa waliolala chini ya anaesthesia na kusikiliza muziki wa filimbi au piano walihitaji kiasi kidogo cha propofol na dawa za maumivu. Walipoamka walikuwa na akili wazi, viwango vya homoni za msongo viko chini, na kupona kwao kulikuwa laini zaidi.

Muziki unafafuta mkazo wa upasuaji na kuharakisha kupona
BBC

