top of page
Indonesia yanzisha mpango wa mlo wa bure kwa watoto 570,000 na wanawake wajawazito.
14.01.2025

(c)Kelly/Pexels CC0
AL JAZEERA
Indonesia imeanzisha mpango wa mlo wa bure wa kipekee ambao unalenga kutoa chakula kwa watu milioni 82.9 ifikapo 2029. Mpango huu unalenga kutoa chakula cha lishe kwa watoto na wanawake wajawazito ili kupambana na utapiamlo huku ukipunguza matatizo ya kila siku ya familia.
...zaidi
bottom of page