FDA Yatangaza Mpango wa Kusitisha Taratibu Majaribio kwa Wanyama

THE SCIENTIST

Mamlaka ya Chakula na Dawa ya Marekani (FDA) imetangaza kuwa itasitisha taratibu matumizi ya wanyama katika majaribio. Kubadili mwelekeo na kutumia seli za binadamu badala ya wanyama kunaweza kusaidia zaidi kubaini watu walio hatarini kupata magonjwa na kupunguza athari za dawa.