
Kipindi cha Netflix kinapinga unyanyapaa kuhusu matatizo ya ulaji
BBC
Katika msimu wake mpya, “Heartstopper” inajadili kwa uwazi matatizo ya ulaji, mada ambayo takribani mwiko licha ya kuenea kwake miongoni mwa vijana. Kuvunja unyanyapaa huo kumefanya kipindi cha televisheni kuwa maarufu katika jumuiya ya LGBTQ+.