
Kituo cha habari kinatoa fursa ya kutumia vifaa vya kielimu.
EL PAÍS
Tangu kuanzishwa kwake mwaka 2024, kituo cha BogumTV kimefikia nusu ya majumba ya Waaafghanistan,kikiwatangazia wasichana waliolazimishwa kusitisha masomo baada ya Taliban kuchukua madaraka. Mada hujumuisha ushauri wa kiafya, masomo ya sayansi na hesabu, pamoja na burudani na muziki.