Kongamano limekusanya bilioni 9.1 kwa ajili ya uhifadhi wa bahari

ECOWATCH

Kongamano la kila mwaka la kimataifa kuhusu uhifadhi wa bahari lenye kichwa “Bahari Yetu, Hatua Zetu” lilifanyika kuanzia Aprili 28 hadi 30 nchini Korea Kusini. Viongozi wa dunia wameahidi dola bilioni 9.1 kwa juhudi za uhifadhi na kurejesha bahari.