Maganda ya ndizi yanasaidia kupambana na ukataji miti nchini Kameruni

MONGABAY

Kwa njia ya ubunifu, mhandisi wa mazingira mwenye umri wa miaka 30, Steve Djeutchou, anazalisha biochar rafiki kwa mazingira kutoka kwa maganda ya ndizi, akitoa suluhisho endelevu kwa ukataji miti kwa ajili ya uzalishaji wa mkaa nchini Kameruni.