Maonesho Yatumia AI Kufufua Nyuso za Waliowahi Kutumikishwa Utumwani
EL PAIS
Maonesho katika Kumbukumbu ya Umma São Paulo, Brazil, yaliyopewa jina “Mimi, mwandishi wa maandiko…” yanaangazia maisha ya watumwa wa zamani na mchango wa mwanasheria Luiz Gama. Kwa kutumia AI, nyuso zao zimeundwa upya na kuwasilishwa kama picha za pasi ya kusafiria.