Mwaka ujao magari hayatakanyaga tena Oxford Street, London. Njia hii maarufu itakuwa ya watembea kwa miguu pekee—mazingira safi, biashara ndogondogo kuchangamka, na nafasi salama kwa watu kukutana, kutembea na kufurahia jiji lao.

Oxford Street ya London kufunguliwa kwa watembea kwa miguu
DEZEEN





