“Paka wakubwa” hujifunza ujuzi wa maisha ya porini ili kurejea katika makazi yao ya asili

MONGABAY

Ili kulinda maisha ya paka-mwitu waliookolewa, kikundi kimoja nchini Mexico kimeanzisha mpango wa kuwafundisha jaguar ujuzi muhimu wa kuwaweka sawa, kunoa silika zao, na kuwaruhusu kurudi kwenye makazi yao ya asili.