Pembe za faru zapatiwa radioactivity salama kupambana na uwindaji

AFRICA NEWS

Muhtasari: Watafiti Afrika Kusini wameanza kudunga pembe za faru na chembe za mionzi isiyo na madhara. Zinagunduliwa kirahisi mipakani kwa vifaa vilivyopo, na kuongeza miaka ya kifungo kwa wanaojaribu kuziuza kiharamu.