
Seli zenye kaboni kupunguza athari za mazingira
TECH XPLORE
Aina mpya ya seli za jua zinazotumiwa kwenye paneli za sola zimeundwa, zikiwa na vifaa vya kaboni pekee. Ingawa zina ufanisi wa chini kuliko zile za kawaida, zitapunguza kwa kiasi kikubwa athari za mazingira na gharama za uondoshaji.