
Shule za umma za usiku,zinaleta ongezeko ya elimu kote Japan
JAPAN TIMES
Shule za umma za Japan zinatoa kozi za usiku ili kufanya elimu kupatikana kwa wanafunzi wa asili zote, na kuwapa nafasi ya pili wale ambao walikosa elimu ya lazima kukamilisha masomo yao.