
Utafiti Mpya Wabaini Athari za Bangi Katika Tiba ya Saratani
ZME SCIENCE
Uchambuzi wa tafiti za kisayansi zaidi ya 10,000 umeonyesha kuwa bangi ina athari chanya na muhimu katika matibabu ya saratani, kuanzia katika kudhibiti dalili kama vile kichefuchefu na kupoteza hamu ya kula hadi kupigana na ugonjwa huo moja kwa moja.