Tangu mwaka 2001, Shirika la Wildlife Trust la India limeshirikiana na wavuvi kulinda papa pota. Samaki hawa wakubwa ambao zamani waliwindwa, sasa wanaokolewa na wavuvi waliofunzwa kuwatoa kwenye nyavu kwa usalama. Zaidi ya papa pota elfu moja wamekomolewa katika pwani ya magharibi ya India na wavuvi hulipwa kwa nyavu zao.

Wavuvi wa India wafunzwa kuokoa papa pota kutoka kwenye nyavu
MONGABAY

