India imezindua treni yake ya kwanza iliyojengwa nchini na inayotumia hidrojeni, hatua mpya katika mpango wa kuifanya reli itumie nishati safi zaidi. Treni hiyo inalenga kupunguza matumizi ya dizeli kwenye njia ambazo bado hazijawekewa umeme huku uwekezaji katika reli za umeme ukiendelea.

India yazindua treni yake ya kwanza inayotumia hidrojeni
MONGABAY