Jangwa la Taklamakan nchini China linapata uhai mpya baada ya miongo kadhaa ya upandaji wa miti bilioni 66. Eneo hili lililokuwa kavu sasa linaonyesha uoto wa asili na uwezo wa kufyonza hewa ya ukaa. Mabadiliko haya yanathibitisha kuwa hata ardhi kame zaidi inaweza kurejeshwa na kusaidia kuimarisha tabianchi yetu ya sasa.

China yageuza jangwa kavu kuwa eneo la kufyonza hewa ya ukaa
TIMES OF INDIA

