Nyavu za kutegesha (gillnets) ni tishio kubwa kwa ndege wanaozama majini, kwani wanapokuwa wakitafuta chakula chini ya maji wanaweza kunaswa humo. Utafiti uliofanyika kando ya pwani ya Cornwall ulihusisha kuweka kwenye nyavu hizo vifaa vinavyofanana na ndege wawindaji, pamoja na boya zenye macho yanayoweza kusogea; hatua hii ilisababisha kupungua kwa asilimia 71 na asilimia 59, mtawalia, kwa idadi ya ndege wa baharini waliokuwa wakinaswa bila kukusudiwa.

Vishada na maboya yapunguza ndege kunaswa Cornwall
MONGABAY
